Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo upo hapa kwaajiri ya kutoa siri zetu?? Haya zitoe zote usiache hata moja yani zote toa.!!
Halafu mbona umenikalia kooni nini mbaya??
Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribu
 
Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribu
Unanichosha bana, mimi sina muda wa kupigana mikwara hapa na wewe!! Ukijisikia kutapika tapika yote.!!!
 
A na B yote majibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Kilangakomo πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Kilangakomo πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha kabisa!!
Ila wewe baki na mimi
 
Sasa nitapike nn? Mbona unajihami sana?
Mm sina haraka, Ila mdogo mdogo utapoteana
Unipoteze umekuwa watu wasiojulikana?? Kantry unanichosha bana!! Halafu sijisikii kujibizana na wewe hizi taarabu zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…