Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Udhaifu upi? Kwani mi kilema? π€£π€£π€£Maneno mengi na sifa, ili tu kuficha udhaifu ulionao
Wewe ndo unafaa sasa πππata najali sasa πππ
Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribuπππ Kwahiyo upo hapa kwaajiri ya kutoa siri zetu?? Haya zitoe zote usiache hata moja yani zote toa.!!
Halafu mbona umenikalia kooni nini mbaya??
kabla sjanunua mko serious au ni jokes πππWewe ndo unafaa sasa πππ
Nunua ugomvi
Udhaifu ni ukilema tu?Udhaifu upi? Kwani mi kilema? π€£π€£π€£
kumbe na kupendana humu kupoππNipo hapa honeeeeyyyy ππππ
Nataka nifichwe na wewe beibeeeeyyy π₯°π₯°π₯°
Unanichosha bana, mimi sina muda wa kupigana mikwara hapa na wewe!! Ukijisikia kutapika tapika yote.!!!Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribu
A na B yote majibu πππkabla sjanunua mko serious au ni jokes πππ
We unaonaje?Udhaifu ni ukilema tu?
Kupo ni wewe tyuu kujichagulia upoe na yupi? π€£π€£π€£kumbe na kupendana humu kupoππ
πππππππΎππΎππΎ Kilangakomo πΆπΎββοΈA na B yote majibu πππ
nipe mbinu aseee nijishndie namim wa hum kwa mara ya kwanza πππKupo ni wewe tyuu kujichagulia upoe na yupi? π€£π€£π€£
Sasa nitapike nn? Mbona unajihami sana?Unanichosha bana, mimi sina muda wa kupigana mikwara hapa na wewe!! Ukijisikia kutapika tapika yote.!!!
ππππ Acha kabisa!!πππππππΎππΎππΎ Kilangakomo πΆπΎββοΈ
Wanakujaga wenyewe, wewe tulia wifi πππnipe mbinu aseee nijishndie namim wa hum kwa mara ya kwanza πππ
nikuaaaacheee nikuachie naniiiiπππππππ Acha kabisa!!
Ila wewe baki na mimi
Nachoona si nimekuambia.We unaonaje?
nimetulia hadi nmeanza kujipitisha lakini wapiπππWanakujaga wenyewe, wewe tulia wifi πππ