Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee tulia tusimwage mchele kwenye kuku wengi hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wana id wamefungua miaka 10 iliyopita na wanaziweka pembeni, mpk wakiona kumechafuka ndo wanazitumia.!!
wacha weee mwaga tu ata najali sasa,,coz ni uongo πŸ˜‚πŸ˜‚kwanza kubishana na mtu mwenye majibu yake tayar ni shida
 
wacha weee mwaga tu ata najali sasa,,coz ni uongo πŸ˜‚πŸ˜‚kwanza kubishana na mtu mwenye majibu yake tayar ni shida
Majibu ninayo kweli nimeingia nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
As long as now niwekuweka in that group basi sinaga baraka, mdogo mdogo utanyooka na utatoa mlio soon
Nimetulia unanianza?? Kwani una shida gani na mimi?? Ujue unavuka misingi ya kiumeni.

Wewe unitoe mlio mimi?? 🀣🀣🀣
Hebu acha ngendembwe zako, waambie walokutuma Lamomy chama kubwa km Arsenal sawa???
 
Nimetulia unanianza?? Kwani una shida gani na mimi?? Ujue unavuka misingi ya kiumeni.

Wewe unitoe mlio mimi?? 🀣🀣🀣
Hebu acha ngendembwe zako, waambie walokutuma Lamomy chama kubwa km Arsenal sawa???
Nimejibu comment ambayo inanihusu. Navuka misingi ya kiumeni? Hiyo misingi ni ipi?
Nakutoa mlio soon, wait and see but sina haraka
Hakuna wa kunituma na hizi tuhuma zako ndio ujinga unaoendekeza nao nitaukomesha. Chama kubwa Kama arsenal? Ww ulivyo dhaifu na mpweke hivyo? Subiri uone
 
Yaan hapo nyie mnatofautishwa na mipaka ya kiserikali tu lkn wote mnatafuna stake na tamaduni nyingi mnaendana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio kweli, mimi mpenzi sana wa nyama hata kwangu nyama km tunda la pembeni haikosekani ila sio nyama ya mbwa bana
 
Nimetulia unanianza?? Kwani una shida gani na mimi?? Ujue unavuka misingi ya kiumeni.

Wewe unitoe mlio mimi?? 🀣🀣🀣
Hebu acha ngendembwe zako, waambie walokutuma Lamomy chama kubwa km Arsenal sawa???
kumekuchaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…