Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,107
Yeap absolutely
Lol hata hayo maneno mawili hapo juu nimetype bila kuangalia keyboard,, I swear..
Issue ya Em kuwa cloned, Me sitaki kuiamini hadi leo (walimfanyia ili awe anti-government au nini cha ziada?, na nani aliyeendesha hilo zoezi? Illumi au kina Dre? Kwanini sio John F. Kennedy, Shakur, Big, Lincoln).

Upo vizuri mrembo, hiyo ni moja ya skills muhimu.
Lol hii story ya kuwa cloned ndio nimeiona hapa kwa mara ya kwanza. Wabongo nimewavulia kofia.
Nasikia walimfanyia hivyo ili asisaliti chama na waliofanya hivyo ni kina Dr. Dre,, kuhusu hao kina J. F. Kennedy na Tupac Shakur hao hawakuweza kufanyiwa cloning sababu vifo vyao vilikuwa so public maana cloning wanafanyiwa watu ambao ndiyo wanakaribia kufa siyo wale ambao wameshakufa na vifo vyao vimeshatangazwa kabisa hapana..
Siyo Em tu ni wasanii wengi wamekuwa cloned tukianza na Dr. Dre mwenyewe, Beyonce, Justin Bieber, Miley Cyrus, et al na hata Michael Jackson naye nasikia ilibaki kidogo wamclone,, inasemekana JB na MC pia ni one of those lizard people japo kuna watu wanasema ni rumours ila kuna ushahidi wa kutosha umewekwa humu mitandaoni..
Mkuu na wewe unaamini kabisa hayo mambo ya human cloning?
Mazingira mazuri
kwamba wabongo wametunga siyo??
Lol wabongo nawaaminia. Mpaka napata akili nilikua najua huyu jamaa anaitwa Massawe.
View attachment 1281285
Lol wabongo nawaaminia. Mpaka napata akili nilikua najua huyu jamaa anaitwa Massawe.
View attachment 1281285
Inaweza ikawa kweli. Ila me nitaendelea kupuuzia hizo rumours.Nasikia walimfanyia hivyo ili asisaliti chama na waliofanya hivyo ni kina Dr. Dre,, kuhusu hao kina J. F. Kennedy na Tupac Shakur hao hawakuweza kufanyiwa cloning sababu vifo vyao vilikuwa so public maana cloning wanafanyiwa watu ambao ndiyo wanakaribia kufa siyo wale ambao wameshakufa na vifo vyao vimeshatangazwa kabisa hapana..
Siyo Em tu ni wasanii wengi wamekuwa cloned tukianza na Dr. Dre mwenyewe, Beyonce, Justin Bieber, Miley Cyrus, et al na hata Michael Jackson naye nasikia ilibaki kidogo wamclone,, inasemekana JB na MC pia ni one of those lizard people japo kuna watu wanasema ni rumours ila kuna ushahidi wa kutosha umewekwa humu mitandaoni..
duuh wabongo ndiyo walikudanganya??
Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Nitaleta mrejesho.. Nilikuwa chumbani nimelala ila saa tisa usiku nilikuwa macho