Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila uduguu mie nna heka heka, najaribu nitulie, siweziiii.

Poleee kwa kuumwa tumbooo.
Ushazoea kuacha huwezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tumbo chango hili nibebe mimba, sijui nimpe mmatumbi gani cheo cha kuitwa baba!!?
 
😍😍😍 bina mzuri ndiomana watu wanaweweseka jomoooniii.!! Kitu kimetulia na low cut matata, hafu hiyo style ya kunyoa itakuwa shem kakushauri 😜
Umenougaaa mbayaaaaa
Ahh sijakufikia ww bina
Hii style nilimwambia kinyozi ninyoe kipara kanambia sifanyi biashara hiyo.
Ndio kuninyoa hivo.
 
Ushazoea kuacha huwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbo chango hili nibebe mimba, sijui nimpe mmatumbi gani cheo cha kuitwa baba!!?
Unajibania bania, mpee mzungu uzamie mambelee km Mange.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajibania bania, mpee mzungu uzamie mambelee km Mange.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo nalo neno myangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wamatumbi tutaanza kusumbuana child support, matumizi ya mtoto wake atataka asome na km kwanzaπŸ˜‚
 
Ahh sijakufikia ww bina
Hii style nilimwambia kinyozi ninyoe kipara kanambia sifanyi biashara hiyo.
Ndio kuninyoa hivo.
Mbona nzuri, hapa nimepanga nikifumua haya manywele nikanyoe nirudi tena kwenye low cutting
 
Hilo nalo neno myangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamatumbi tutaanza kusumbuana child support, matumizi ya mtoto wake atataka asome na km kwanza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeh wee jizolee kibabu wako wa Las Vegas ukale maishaa kwa Biden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…