Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguu umeanza kulewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaanza kuchachua modes [emoji119][emoji119][emoji119]
Naanza nao hawa, nawapa ukweli, unafiki sio shida zangu.
Hata wenyewe wana elewa, na watakubali tyuu hata km hawataki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza nao hawa, nawapa ukweli, unafiki sio shida zangu.
Hata wenyewe wana elewa, na watakubali tyuu hata km hawataki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tumbo linaniuma hafu ninavyocheka ndo najitonesha ujue
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tumbo linaniuma hafu ninavyocheka ndo najitonesha ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila uduguu mie nna heka heka, najaribu nitulie, siweziiii.

Poleee kwa kuumwa tumbooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…