Mbona nimepitwaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweli babu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nakuja kuolewa kijijini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu wakati nasikia unawanyoosha mpk wanaomba wakuzalie
Ndio mjue mna kitu adimu βΊοΈhuku mbona tupo wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Honeeeeyyyy [emoji7][emoji7][emoji7]
Ww mwanaume wa chuga em salimia kwanza!! Mimi nimewaita wanaselfika wote hapa waselfike na wewe ukiwemo. Cha ajabu unataka kuleta taharuki..!!
Halafu mambo ya vyumbani yanaishia vyumbani hujapitia jando?? [emoji23][emoji23][emoji23]
ungefafanua vizur hiko kitu adimu ingependeza zaidiπNdio mjue mna kitu adimu βΊοΈ
Kumekuchaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba sio maadui tena? Ulichomind ndio ulichofanya, huu ni unafki. Acha
Unajua kutumia saikolojia vizuri wewe mtoa likes..Ndio mjue mna kitu adimu βΊοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iPhone hiyo inafanya tunakuwa wazungu pori [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We huogopi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii tupuuuUna unafki na nakuahidi huu unafki nitaukomesha. Nimemaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila Kantri una ujinga mwingi sana!! Kukutag km mwanaselfika imekuwa nongwa??
Unikomeshe kwa lipi?? Em acha mikwara basi beibeeyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kipi kinakuuma kwani?
Unasifia tu pale inapo bidi hakuna namnaUnajua kutumia saikolojia vizuri wewe mtoa likes..
Kila upande upo....
ππππ Njombe kipindi hiki hakuna kuogaUuuuweeeeh apo barid ila ilibidi nfungue kama fashion mwili upunge hewaππππ
πππ itakubidi uduguu na niko kufatilia waharibifu wote nawaripoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabalozi wa amani hapanaa, mbona siweziii kabisaaa
ππππ shauri yako we huogopi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliii
Waje jomoooni tuone uumbaji wa Mungu πππSubiri wanakujaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Treeeeenahhh watu na rangi zenu za udhurungi udhurungi ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na upaja piaaa, mweupeeeeeeee!!!