Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,553
- 235,328
Shida huku killa mtu amelimaKweli chakula mnacho cha kutosha, niliona kiroba cha Viazi 20k Mwaka fulani π
Nikaribisheni Babu yenu nije nilime huko π
Hayo ndiyo maeneo sahihi ya sisi Wazee kuishi, maana pamoja na kikokotoo hiki kipya kuathiri pension zetu bado unabaki na hela kidogo ya kumudu maisha (inflation rate huko ni Chini kuliko maeneo mengi ya Mjini) π€Shida huku killa mtu amelima
Hakuna wa kumuuzia mwenzie chakulaπ
Nimepita jana hadi roho ikaumia namna vitu vinauzwa bei ya chini
Ni hatariπ₯π₯π₯
Huko Kyela ndiyo mipunga inavunwa
Bei kitonga sana,ndiyo muda wa kununua magunia ya kutosha.
We jirani mi ndo nakudai faini kubwa sana ujue π
Tena ngoja nimpigie saivi my jirani
Huu ni ugonjwa gani π¬
Tetekuwanga hiyoHuu ni ugonjwa gani π¬
Hatari sana mpka kwenye ulimi π¬Tetekuwanga hiyo
Katerero
Ubuntu Botho.Katerero
Muonane kwa ajili ya hiyo pilau unayokula au?Mliopo Dodoma tujuane πππ
πππππMuonane kwa ajili ya hiyo pilau unayokula au?
Rhabhekhaaaaaa!!!!
πππππππππRhabhekhaaaaaa!!!!
Kaa mkao wa kuniona leo, naweka snap moko ya kwendraaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii, ila mzuri kushinda dem wako, kuwa mkweli.View attachment 3015810
Kwani wewe hujawahi iona picha ya cocastic . Coca huyo hapo katika moja na mbili akiselfika na kumbless oicha yake wizo wake BICHWA KOMWE - na rafiki yake mshamba_mwingine
Mtanii huku ni kucheka au kufurahiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]