Selfika na JF: Snap it. Show it

Sa ukimbie vipi tena?? Hahah 🀣 🀣 na wanaume ndo waoga wa sindano 🀣 🀣
Babu yenu nimekuwa mwoga sana wa sindano, bora mnipe dawa tani 30 nimeze kuliko sindano 5πŸ™Œ
 
Marahaba Mjukuu, habari za huko Mjini?

Bibi yako anakusalimia sana, anasema umletee Wajukuu zake acheze nao πŸ€—
Huku barida sana babu!
Namie nimewamiso msamilie sana bibi nawengine huko!
Nimetingwa kidogo but Soon ntakuja kuwasabahii babuu msijareee kabisa!
 
Huku barida sana babu!
Namie nimewamiso msamilie sana bibi nawengine huko!
Nimetingwa kidogo but Soon ntakuja kuwasabahii babuu msijareee kabisa!
Karibuni sana na Mkwe wetu πŸ€—

Tumeandaa Jogoo wawili kwaajili yenu 😜
 
Hujui alikuwa mchumba wangu nina maumivu gan hapa sshv mxiewww😑😑😑😑
😊😊😁😁😁
Kumbe ukimlavu mtu na ukaona Mambo yake yanaenda mukide mukide ndio huwa inauma hivo shenzetypee πŸ’πŸ’!

Ndio ukome dogo Pambana naharee yako no way 😁


Hivi Dogo harusi yako iliendaje lakini si ilikua desemba 2023??
 
Aamin Tumekaribia babu!
Nataka nirare babu Naomba uublesi usiku wangu kwanza nirare vizuri!

πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄
Kumbe nilipitwa na ujumbe πŸ€—

Leo mapema nitapandisha picha yangu ya Mwaka 47 nilipokuwa Kijana 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…