Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo town mzee wangu ,uwa narudi kijijini nikimaliza mshahara wote πŸ˜–
Hahaha.......... that's real interestingly

Unanikumbusha Mwaka 47, mmoja wa co-worker ofisini kwetu aliyekuwa na tabia kama yako

Ilikuwa akiondoka tarehe 30 basi kurudi ofisini tena ilikuwa baada ya Siku 8 hivi tangu mshahara utoke, na akirudi hawi hata na mia mbovu πŸ˜œπŸ™Œ

Nikirudi tena nitakucheki, ngoja nikawasalimie ndugu zetu Wagogo πŸ€—
 

Nimejaribu kukumbuka kisa cha Mzee mwenzangu aliyeachwa na Mpenzi wake Mwaka 1982 😜

Imagine ulikuwa ukinywa Maji unamwona kwenye glass

Hupati Usingizi usipopata meseji yake ya goodnight baby, hata kama meseji yenyewe unatumiwa saa 11 jioniπŸ™Œ

#Tafadhali nieleze nawezaje kuishi bila wewe

Wazee pia huachika πŸ™Œ

Good morning πŸ₯‚
 
Sawa kabisa ,karibu tena ndugu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…