Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mgosi hawa mabinti tusipowapeleka mloganzila mapema itakuaje siku akienda maternity photoshoot si ataonekana huku ndo huku na huku ndo huku
Hahaha..............likiwa la asili ndiyo poa japo ya Kichina nayo si haba kuyatazama 😜

Juzi tukiwa sehemu ya kusubiria ndege kwenye mgahawa mmoja pale JNA alipita Dada mmoja wa Kisouth Afrika, alikuwa anabonge la Chura halafu linasheki, alikuwa amevaa kinguo kifupi mno (angekuwa Mjukuu wangu ningemwambia arudi ndani akavae nguo maana pale ni kama alikuwa uchi🙌)

Kulikuwa na Wazungu (Me) Wanne wakiwa wanaenda Zanzibar, alivyopita yule Binti wa Kisouth Afrika na Kwa ule mzigo jamaa macho yote Kwa yule Binti ( Japo Babu yenu nilijitahidi kuangalia pembeni kuepusha Pension yangu kwenda bure bure 😜)

Nikapata pointi Kwanini Matajiri wengi huwa ni Wazee 😜
 
Location kama zile za airport hamna umbo utaacha kuona, sema saiv uumbaji ni kama upo updated hv kila ke nayemuona yupo vzr

Hivi nyie mmekuaje matajiri mbona mm na uzeee wote USD 100k Sina
 
Babu huyo dada ilikuwa ni mimi 🤣🤣🤣
 
Location kama zile za airport hamna umbo utaacha kuona, sema saiv uumbaji ni kama upo updated hv kila ke nayemuona yupo vzr

Hivi nyie mmekuaje matajiri mbona mm na uzeee wote USD 100k Sina
Yale maeneo ni hatari balaa

Kuna Mhudumu mmoja wa atcl nilionana naye pale, alikuwa balaa 🙌

Ule mzigo sijui ni wa Uturuki/Mloganzila 🙌

Bora tumezeeka sasa 😜

Ukiona bado hujaanza kuwa na hizo dollar 100k ujue bado hujafikia ule Uzee wenyewe wenyewe sasa, utakuwa kama Mzee Grahams hapa 😜
 
Back
Top Bottom