Selfika na JF: Snap it. Show it

Nadhani Kuna haja tubadirishe na uongozi uliopo, maana hii sio kawaida Kufungwa na Mtani mechi mbili za Ligi KUU mfululizo pamoja na kukosa Ubingwa namna hii πŸ™†
polee sana 😎 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 😎
 
Hongera, binafsi nashindwa labda niende nikafanyie kazi zangu hotelini kuepusha interference ya watoto maana wakikuona home Siku hiyo watataka muanze kucheza "yesha yesha yeah...." kama wote mko class one πŸ€—πŸ™Œ
Ndio raha ya watoto jamani!😁
Wafurahie kabla hawajaingia kwenye u-teenager wakapoteza interest na wewe.

Mi huwa nikisema sasa hivi nafanya kazi usumbufu unakuwepo kidogo tuhevery now and then.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…