Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
π€£π€£π€£Ningekushangaa sanaMie siyo wa kukaa bila kuja kariakoo
Tumeshika wingu leoSelfikeni jamani Saint Anne
Hapa kichwa kipo fresh kimezibuka kwa zile keleleππππππ€£π€£π€£Ningekushangaa sana
Hapa kichwa kipo fresh kimezibuka kwa zile keleleππππππ€£π€£π€£Ningekushangaa sana
Safiii sanaππHapa kichwa kipo fresh kimezibuka kwa zile keleleπππππ
π€£π€£Wananiudhi wale wanalazimisha kula Sasa dawa yao ni kula halafu sinunuiTumeshika wingu leo
Bwana ni mwema,amelishika kweli kweli mvua hakuna hadi turudi makwetu
Raha ya makumbusho uonje bisiπππ
Mie alinipa za kuonja nachukuaπππππ€£π€£Wananiudhi wale wanalazimisha kula Sasa dawa yao ni kula halafu sinunui
Maana siyo kwa purukushani zileSafiii sanaππ
ByurifuuWasalaam.....π₯΄
View attachment 2975393
Toa uaWasalaam.....π₯΄
View attachment 2975393
GorgeousWasalaam.....π₯΄
View attachment 2975393
Leo kitanda kitakuja mahali nipo hakuna kulala πππππulifanya jambo la masna sanaπ π π
Usiwe serious kwa vitu Vya kuongeza siku dear pole kwa kukwazika ila matani tuuTusizoeane kwa kuhisiana Mambo ambayo huna ushahidi na uhakika.
Na jaribu kutokukujibu kila unapofanya guessing lakini Elewa tu sifurahii
Nasubiri picπLeo kitanda kitakuja mahali nipo hakuna kulala πππππ
Hahahahaha..nilitegemea hili jibu ..kuna aina ya majibu au ujibujibu huwa unafanana sanaπ€£π€£π€£Hata uongeze Hadi Z,halafu irudi -A.....choice itaendelea kubaki B....with B I can buy chocolate I can also have Equation X