Hawafanyi delivery?Lina laana hili jiji
Mimi kuna mzigo wangu nafuata mjini niondoke zangu
Kasheshe kufika huko posta..
Sijui nizungukie Toangoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki njia yenye maji kabisa
Uwezo wa kuvuka maji nimejitwika mizigo siwezi.
Lazima kupita taifaHahahahaa tuangoma unafikaje [emoji1787][emoji1787]
Nenda kwa mguu 🤣🤣Lazima kupita taifa
Ndio niende mbagala...
DSM ni kiboko [emoji119]
Hiyo njia ya Buguruni nikipitia kinyerezi ina foleni balaaa[emoji174]
Una safari ya tuangoma unatokea mbezi???? Kazi ipoLazima kupita taifa
Ndio niende mbagala...
DSM ni kiboko [emoji119]
Hiyo njia ya Buguruni nikipitia kinyerezi ina foleni balaaa[emoji174]
Nabana matumizi [emoji16]Hawafanyi delivery?
Hao watu si wampe boda?
Heri uingie gharama ila uzima uwepo.
HeeAmevua jersey ya Yanga
Kavaa ya simba [emoji23][emoji23]
Khaa [emoji23]Una sh ngapi nikusomee?
Mbona art hajifichi [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kwa mguu [emoji1787][emoji1787]
Nipo Dar nipo Dar
Kumbe mko pembezoni mwa dunia
Ila ntafika tu [emoji1787]Una safari ya tuangoma unatokea mbezi???? Kazi ipo
Hadi unawish kungekuwepo vindege upaeIla ntafika tu [emoji1787]
Kesho napita magomeni mapipa
YaaniHadi unawish kungekuwepo vindege upae
Tumuofwe Nkamu😂😂
Mimi nimeona pozi na locations zake.Nkamu
Nilivyoona skokonko nikajua ni wewe
Kwa kweli hata mimi sitaki waniponze nipate ban bure 😂Mimi nimeona pozi na locations zake.
Kwaherini maharamia nyie kabla sijapigwa kitofa na mods🤣🤣
Hii I'd abaki nayo hii hiiAaah leo umeamka vizuri
Hahaha sio kazi rahisi kabisaHii I'd abaki nayo hii hii
Ile ya alqaida aachane nayo kabisa
Inaleta machafuko
Mimi nimeona pozi na locations zake.
Kwaherini maharamia nyie kabla sijapigwa kitofa na mods🤣🤣
Mimi Leo nimewaza balaa kwenda huko nikarudi zangu kulala😀Lazima kupita taifa
Ndio niende mbagala...
DSM ni kiboko [emoji119]
Hiyo njia ya Buguruni nikipitia kinyerezi ina foleni balaaa[emoji174]
Hatari sanaMimi Leo nimewaza balaa kwenda huko nikarudi zangu kulala😀