Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuko biyeeeee poker hi πŸ‘‹

Jamani mnaonipenda wote naomba mni waoooh bac 😜
Au hamjapenda mi kurudi??
Sasa uzi utatrend πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Usijareee kabesaaa sis mie treinaaaaaaaahhhh! Mafoto kama youtrrrrrrreeee kuanzia kwenye one two one twoo . Helllooooowww! Mic testing!Mic testing πŸ—£οΈ
Weeeeeh natamani ningekua huko sema ntakuja mvua zikiisha ccy kipindi cha summer.

Sherehe tunayo πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Kumekuuuuuuuuuuuchhhhhhhaaaaa udugu wangu [emoji2222]
Em selfika kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu selfikaaa baadaee, sahivii salamu kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] onesha ugeni kidogo, haraka haraka hvyoo?
Si utaogopeshaa waja sasa? Wee
 
Mwendo wa ngiri, inaitwa usiyempenda kaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena bora ya zamani, kuliko alivyokujaa sasa!!
Wee huogopiiiiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguu selfikaaa baadaee, sahivii salamu kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] onesha ugeni kidogo, haraka haraka hvyoo?
Si utaogopeshaa waja sasa? Wee
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Weeeeeh natamani ningekua huko sema ntakuja mvua zikiisha ccy kipindi cha summer.

Sherehe tunayo πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Hizi nywele nizifanyeje sis Naomba mwongozo pulllllllliiiiiiiiizzzzz! Mbele zimekatika sana ! Afu ule mshono chini navalia viatu sampuli gani kwanza???
 
Tunayooooo sis ndo nawaza hapa kichwani nifanyeje kuna hayo madude na miguuni sijui viatuuu gani hata mie sio wa michuchumio!
😁😁😁Ccy Mim pia nimeanza kusuka hapa kichwani nina mistari, natakiwa nikaifumue nianze kusuka leo, lkn tatizo nywele zinauma uwiiii uwiiiii uwiiiiii, Yani nikiwa nasukwa hadi nasikia kalio linauma,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Alafu ijumaa kuna send off ya cuzo wangu. Nakutumia watsap uone kama utaipenda.
 
Mahondaw alfu michuchumio ccy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mim hua sivai kabisa maan naogopa kuparamia mihotpot ya watu kwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa hiyo ccy kama huwezi bora kutafuta viatu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…