Aah hii ligi imekua kubwa tayari..kama hujui ulipokuwa basi fanya ku ignore..au kule ulikokua unasema upo hukuwepo basi tufanye tupo Tanzania mjini selfika wach tuselfikeee...
Hapa Nishavimbiwa magimbi nayo tumboni hayataki hata kumeng'enyeka haraka ili nikapige zoezi la kupunguza hili tambi msambao kama tuvofokewa na Dr Kalpana hapo dah!