Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,301
Ubuntu botho kumbe imekua nahau... ๐ ๐ ๐Na kibaridi hiki cha dar noma sana UBUNTU BOTHO kama wote๐๐๐๐๐
Ubuntu botho kumbe imekua nahau... ๐ ๐ ๐Na kibaridi hiki cha dar noma sana UBUNTU BOTHO kama wote๐๐๐๐๐
Kumbe usharudi Tanzania sasa...
Kwani nilikuwa wapi?Kumbe usharudi Tanzania sasa...
kwa mtogole...Kwani nilikuwa wapi?
Kwa hiyo nimetoka kwa Mtogole na kurudi Tanzania?kwa mtogole...
Hapo namtumbo najiona kabisa,!Kabla hujalala fanya hili tizi mdada..mmama View attachment 2958172
Aah hii ligi imekua kubwa tayari..kama hujui ulipokuwa basi fanya ku ignore..au kule ulikokua unasema upo hukuwepo basi tufanye tupo Tanzania mjini selfika wach tuselfikeee...Kwa hiyo nimetoka kwa Mtogole na kurudi Tanzania?
Jaribu mm dada yako sina tumbo hivyooo...na nina watoto 6.... ๐ ๐ ๐ ๐Hapo namtumbo najiona kabisa,!
Ngoja Leo nijaribu
Uko vizuri sis! Wacha niweke juhudi ! Kitambi sioo kabesaa ๐คJaribu mm dada yako sina tumbo hivyooo...na nina watoto 6.... ๐ ๐ ๐ ๐
Kabeeeesaaa... ๐คฃ ๐คฃUko vizuri sis! Wacha niweke juhudi ! Kitambi sioo kabesaa ๐ค
Kalpana selfika bathi JamaniKabla hujalala fanya hili tizi mdada..mmama View attachment 2958172
Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o๐ตUpendo tulonaoo ulitengenezwa namimi nayeye
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyuka
Penzi tramuuuu๐๐ต๐ต
Mrare unono wapendwa wacha nikapumzishe fuvu langu sasa๐ด๐ค๐ค๐ด๐ด๐ค๐ด
Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o
Hapa Nishavimbiwa magimbi nayo tumboni hayataki hata kumeng'enyeka haraka ili nikapige zoezi la kupunguza hili tambi msambao kama tuvofokewa na Dr Kalpana hapo dah!Tunaoteseka Sisi wapiga ny**o
Hapa Nishavimbiwa magimbi nayo tumboni hayataki hata kumeng'enyeka haraka ili nikapige zoezi la kupunguza hili tambi msambao kama tuvofokewa na Dr Kalpana hapo dah!
Tambi msambao...๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Waoooh hongera kwa miaka 11 ya JF...Followers 0 doh!
Morning selfika
Sio mchezo!Waoooh hongera kwa miaka 11 ya JF...
Achana na folowazi