Yani ww ni mpolee jamani...nashangaa wakaka wa JF wanachelewa haha wanione mimi kama dada mkuu nimalize jambo..yani ka sura kaupolee rangi ya mtume..π₯°π₯°π₯°π₯°
Mungu anakuona ujue ππππ€ !
Mi saivi Huku niliko kumenishape fulani. Yani kipindi nimeajiriwa walikua wananishangaa sana . Na akili zangu mbili nungekua dar nahisi ningechizi mimi make napenda vinguo vyahovyo mnooo yani!