Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,320
Kweli ametuweza, ngoja nimwambie Bibi yenu akupe ile dawa ya Mapacha.Kasema Hadi nizae watoto 2 alafu ndo nianze kudai😂😂
Ukitumia tu imoo Mapacha 🤗
Kweli ametuweza, ngoja nimwambie Bibi yenu akupe ile dawa ya Mapacha.Kasema Hadi nizae watoto 2 alafu ndo nianze kudai😂😂
Mi ni mkulima sana babu. Bibi alitulea na kutufundisha vizuri . Nimemmiso msamilie sana ( In Jr voice)Kumbe Mjukuu unajua kulima?
Kweli Bibi yenu alifanya kazi nzuri kuwafundisha 🤗
Nitafurahi navowatamani Hao twinsKweli ametuweza, ngoja nimwambie Bibi yenu akupe ile dawa ya Mapacha.
Ukitumia tu imoo Mapacha 🤗
Mkuu hongera umejua kuitunza hiyo ndinga 👏👏Uzee huooo.View attachment 2940215
Mr likes samalekooo . Karibu tung'oe ng'oe vinyasi shambani asee!
Sio yangu mkuu ila napenda sana kujifanya old skuli.Mkuu hongera umejua kuitunza hiyo ndinga 👏👏
Ndagha fijo Nkamu 😍Yani uko very natural..yani ww ni wa kienyeji kabisa..huna mikogo ya kujifanya wa ushuani..i like it...
Ulinunu fijo....
Nilidhani baada ya kwenda huko Mjini ndiyo ungesahau jembe 😅Mi ni mkulima sana babu. Bibi alitulea na kutufundisha vizuri . Nimemmiso msamilie sana ( In Jr voice)
Mnavoupakazia uzee sasa ukiwafikia mbona wenyewe hamtautamani !Uzee huooo.View attachment 2940215
Kaswiti switii..pendeza sana mamito
Hahaha....... hongera Mkuu, wanasema vya kale Dhahabu 🤗Sio yangu mkuu ila napenda sana kujifanya old skuli.
Chips zege mara mojamoja😂Ushindwe mwenyewe kunenepa
Mwanamke lipssss 💋💋!
Asante dearKaswiti switii..pendeza sana mamito
Katika stara
😍Asante sana lips ndani ya lipgloss ya buku 😂😂Mwanamke lipssss 💋💋!
Uko bomba ajjatt 🔥🔥🔥🔥🔥
Mavi ya kale hayanuki🤠🤠🤠🤠🤠😁!Hahaha....... hongera Mkuu, wanasema vya kale Dhahabu 🤗
Ngoja nimwambie akuletee ili utimize Kiu yakoNitafurahi navowatamani Hao twins
Yani ww ni mpolee jamani...nashangaa wakaka wa JF wanachelewa haha wanione mimi kama dada mkuu nimalize jambo..yani ka sura kaupolee rangi ya mtume..🥰🥰🥰🥰
Wanawake Waislamu wengi wanavaa kwa staraa sana I like that.Kaswiti switii..pendeza sana mamito
Katika stara
Kweli yani ndo maana una ka mwil kazuri potabooo..au ushanenepa? Maana nilikuona humu selfika long tym sanaChips zege mara mojamoja😂