π€£π€£π€£π€£π€£Tulia dogo soma..ukianza na mashangazi utapotea kabisaaa... utakua unawaza tuu wezere.. π π
Hawajui mashangazi ni kama madawa ya kulevya.... π π π ππ€£π€£π€£π€£π€£
Na wewe hujafunga Kwaresma?Mbona kama umenyooka
Hebu fanya kg 5 nionje na mie
NimefungaNa wewe hujafunga Kwaresma?
Nipe address nitume bolt akuletee π€
Sisi mashangazi hatuna baya shauri yakeHawajui mashangazi ni alcoholic.... π π π π
Hahaha......... hongera kuweza kufunga...... kwahiyo vile vitu vingine hujafunga?πNimefunga
Si unajua sisi tunafunga vitu tunavyopenda
Nmefunga vingi sana babu π€£Hahaha......... hongera kuweza kufunga...... kwahiyo vile vitu vingine hujafunga?π
Hivi nilitaka kusema nini...?
Jamani Uzee huu π€πππ
Hapo sawa, maana nilitaka kumtuma Paroko aje mkemee Pepo πNmefunga vingi sana babu π€£
Kiufupi vyotee
Labda anipe kitubioHapo sawa, maana nilitaka kumtuma Paroko aje mkemee Pepo π
Ngoja nikuletee mwenyewe, nilikuwa navyo viwili ππππLabda anipe kitubio
Swaumu kale ngoja nifuturuππShogaangu selfika basiiii au swaumu imekaza
Zimefika salamu bila shakaOoh...... hongera sana
Utamfikishia salamu Mkwe wangu π€
Ngoja nifuturu dadaTUpia tena mdogao akeee...sijakuona long tym cheupe..
Mkumbushe kumalizia ile mahari yetu, Wazee bado tunaidai ile hela iliyobaki πZimefika salamu bila shaka
π§π§π§Huku wanaita kulima mwata
Story fupi fupi picha kwawingi Wapendwaaaa
Good evening
Kasema Hadi nizae watoto 2 alafu ndo nianze kudaiππMkumbushe kumalizia ile mahari yetu, Wazee bado tunaidai ile hela iliyobaki π
Kumbe Mjukuu unajua kulima?Huku wanaita kulima mwata
Story fupi fupi picha kwawingi Wapendwaaaa
Good evening
Huo uzee ukowap kujizeesha tu πUzee huooo.View attachment 2940215
Sura makunyanzi na mvi kwa mbaliii.Huo uzee ukowap kujizeesha tu π