mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
Au itakua ni birthmark.....Unakumbuka ile memes
Inasema watu wengi kidole cha kwanza lazima kiwe na alama ya kujikata. Ukanipostiaga chako mshamba_hachekwi
Hata changu ni wale wale
Watoto korofi πππ
Unatakiwa kuacha hata kidevu au shavu sasa unafichaaaa...hamjui kuselfika nyie mbona sie wengine mpk ukiunganisha picha zetu unaweza kupata uso mzima...acha uoga π πTBT mlimani City
View attachment 2936410
Ushindwe mwenyewe kunenepaπ₯
Selfika wewe mshangazi wa jfMbona kama uzi umepoa? Kuna watu siwaoni humu π π
Mnataka muache vitoto vyenu mnisarandie mshangazi wa Taifa? .. πSelfika wewe mshangazi wa jf
Weka tukuone ulivyofungashaπMnataka muache vitoto vyenu mnisarandie mshangazi wa Taifa? .. π
Mbona nimeachia kidevu mtani pitia zingine utaziona hapoUnatakiwa kuacha hata kidevu au shavu sasa unafichaaaa...hamjui kuselfika nyie mbona sie wengine mpk ukiunganisha picha zetu unaweza kupata uso mzima...acha uoga π π
TUpia tena mdogao akeee...sijakuona long tym cheupe..πππNn tena
Ee nilikuja kuona bana...Mbona nimeachia kidevu mtani pitia zingine utaziona hapo
Tulia dogo soma..ukianza na mashangazi utapotea kabisaaa... utakua unawaza tuu wezere.. π πWeka tukuone ulivyofungashaπ
Mashangazi ndo dili
Yani uko very natural..yani ww ni wa kienyeji kabisa..huna mikogo ya kujifanya wa ushuani..i like it...
Sikukuu hii jamni tuletee debe moja wajukuu zako tule Cha mtumeView attachment 2940113
Sijui anayeonewa hapa, ninaye nunua Kwa Debe ama Kwa Kilogram
Hello Wednesday π₯
Kwani una familia kubwa kama ya Babu yenu hapa πSikukuu hii jamni tuletee debe moja wajukuu zako tule Cha mtume
Asante Babu familia ipoKwani una familia kubwa kama ya Babu yenu hapa π
Jumapili utaupokea huko ulipo π€
Ooh...... hongera sanaAsante Babu familia ipo
Shogaangu selfika basiiii au swaumu imekazaSikukuu hii jamni tuletee debe moja wajukuu zako tule Cha mtume
Mbona kama umenyookaView attachment 2940113
Sijui anayeonewa hapa, ninaye nunua Kwa Debe ama Kwa Kilogram
Hello Wednesday π₯