Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Mar 15, 2024 #379,781 Grahams said: Ngoja niangalie kwenye album yangu.......Kuna picha nilipiga Mwaka 1971, ngoja nitaiweka hapa soon π€ Click to expand... Sawa babu. Tunasubiria.
Grahams said: Ngoja niangalie kwenye album yangu.......Kuna picha nilipiga Mwaka 1971, ngoja nitaiweka hapa soon π€ Click to expand... Sawa babu. Tunasubiria.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,782 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯
Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,474 Reaction score 22,675 Mar 15, 2024 #379,783 Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuu
Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Mar 15, 2024 #379,784 Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliiiπ€
Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliiiπ€
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,785 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuu Click to expand... Hivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo? Basi ukipata Umri huo ongeza na miaka 43 hivi maana picha ya Mwaka 71 hiyo π
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Ngoja nideal na vinyweleo vya mkono wako nitaujua umri wako unaporange tu mkuu Click to expand... Hivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo? Basi ukipata Umri huo ongeza na miaka 43 hivi maana picha ya Mwaka 71 hiyo π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,786 Mahondaw said: Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliiiπ€ Click to expand... Hivi kumbe kanaonekana eeh? Nilikuwa natumia kumbembelezea na kumlazia lastborn wetu akiwa analia... Kweli tumezeeka sasa π€
Mahondaw said: Santo sana kwa blessings babu naona kakitambi mchomoko kwambaaaaaaliiiπ€ Click to expand... Hivi kumbe kanaonekana eeh? Nilikuwa natumia kumbembelezea na kumlazia lastborn wetu akiwa analia... Kweli tumezeeka sasa π€
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 15, 2024 #379,787 Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sana
Grahams said: View attachment 2935138 Tunapowaambia tumekula chumvi nyingi ni kweli tunamaanisha ........ Picha ya Mwaka 71's hiyo π Hello Friday π₯ Click to expand... Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sana
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,474 Reaction score 22,675 Mar 15, 2024 #379,788 Grahams said: Hivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo? Basi ukipata Umri huo ongeza na miaka 43 hivi maana picha ya Mwaka 71 hiyo π Click to expand... π haya mzee
Grahams said: Hivi unaweza kujua umri Kwa kuangalia vinyweleo? Basi ukipata Umri huo ongeza na miaka 43 hivi maana picha ya Mwaka 71 hiyo π Click to expand... π haya mzee
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Mar 15, 2024 #379,789 Grahams said: Hivi kumbe kanaonekana eeh? Nilikuwa natumia kumbembelezea na kumlazia lastborn wetu akiwa analia... Kweli tumezeeka sasa π€ Click to expand... Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongera
Grahams said: Hivi kumbe kanaonekana eeh? Nilikuwa natumia kumbembelezea na kumlazia lastborn wetu akiwa analia... Kweli tumezeeka sasa π€ Click to expand... Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongera
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,790 Tresor Mandala said: Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sana Click to expand... Hahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's π
Tresor Mandala said: Hahahahaha..mkuu naona umewabless..safi sana Click to expand... Hahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,791 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: π haya mzee Click to expand... Shukrani Mkuu... Tunachit-chat hapa na Vijana wakati tunasubiria jua lipungue kidogo ili turudi tena shambani
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: π haya mzee Click to expand... Shukrani Mkuu... Tunachit-chat hapa na Vijana wakati tunasubiria jua lipungue kidogo ili turudi tena shambani
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 15, 2024 #379,792 Grahams said: Hahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's π Click to expand... Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..haya
Grahams said: Hahaha............nimeamua kuwa -bless Vijana picha ya Babu yao ya Mwaka 71's π Click to expand... Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..haya
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,793 Mahondaw said: Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongera Click to expand... Shukrani Mjukuu π€ Kweli tumezeeka sasa π
Mahondaw said: Mtoto ukimlaza hapo lazima anyamaze na atulie kabisa safi sana na hongera Click to expand... Shukrani Mjukuu π€ Kweli tumezeeka sasa π
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,987 Mar 15, 2024 #379,794 Karibuni lanchi.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Mar 15, 2024 #379,795 Grahams said: Shukrani Mjukuu π€ Kweli tumezeeka sasa π Click to expand... Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa.
Grahams said: Shukrani Mjukuu π€ Kweli tumezeeka sasa π Click to expand... Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 15, 2024 #379,796 Mahondaw said: Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa. Click to expand... Hahahahaha
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,797 Tresor Mandala said: Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..haya Click to expand... Hahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika. Naona Vijana wamekuwa busy kidogo na utafutaji, hivyo Babu yao nimeamua kuwalindia kidogo π
Tresor Mandala said: Hahahahaha..eti picha ya mwaka 71..Mkuu bhana..haya Click to expand... Hahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika. Naona Vijana wamekuwa busy kidogo na utafutaji, hivyo Babu yao nimeamua kuwalindia kidogo π
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 15, 2024 #379,798 Grahams said: Hahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika. Naona Vijana wamekuwa busy kidogo na utafutaji, hivyo Babu yao nimeamua kuwalindia kidogo π Click to expand... Hahahahaha..safi sana...inapendeza
Grahams said: Hahaha....tunajaribu kuupa uhai Uzi wetu wa Selfika. Naona Vijana wamekuwa busy kidogo na utafutaji, hivyo Babu yao nimeamua kuwalindia kidogo π Click to expand... Hahahahaha..safi sana...inapendeza
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,707 Mar 15, 2024 #379,799 Mahondaw said: Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa. Click to expand... Uyanki nautolea wapi Mjukuu, miaka 79 niliyonayo mchezo π€
Mahondaw said: Weeee muongo babu unaonekana bado yanki kabisa. Click to expand... Uyanki nautolea wapi Mjukuu, miaka 79 niliyonayo mchezo π€
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,332 Mar 15, 2024 #379,800 Tresor Mandala said: Hahahahaha Click to expand... Anatudanyanya huyu mzee gani aonekana yanki hivoπ! Haya nawe fanya manuva uubles mchana wetu mkuu leo tupia ya juu π€
Tresor Mandala said: Hahahahaha Click to expand... Anatudanyanya huyu mzee gani aonekana yanki hivoπ! Haya nawe fanya manuva uubles mchana wetu mkuu leo tupia ya juu π€