Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee mwenzangu umeamkaje? Mali safi hiyo inakufaa sana haswa ukimaliza kazi za saiti.
Naendelea poa Mzee mwenzangu 🙏

Nimekuwa busy na shughuli za shamba, si unajua mvua huku Kijijini bado zinanyesha🤗

Hiyo Mali safi nataka nimpigie pande Mkuu dronedrake ili aache kuchukua Sheria mikononi. Ili kufanikisha mchakato najitolea kumchangia mahari ili aweze Kuoa kabisa 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…