Huyo wifi sio mchoyo, wewe umemuwezesha mpk utake pesa?? πππ
Naamini matunzo mazuri pia unapata, huu mwaka unaogawanyika kwa mbili ndio wa kuchuma. Usisubiri 2025 itakula kwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amen shem!
Soon tunatufikia kama lenu hilo kila mmoja yupo kwaajili ya mwenzake.
Safi sana hiii! Hongereni sana!
Mali saaafi kabisaTukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Dah..[emoji39][emoji39][emoji39]Tukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sana[emoji173][emoji173][emoji173]Mama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sana[emoji1431][emoji1431][emoji1431]

Kumbe wewe ni mrembo hivi ..dahMama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sanaππ½ππ½ππ½
Asante kwa kuona hilo mkuuπ₯°Kumbe wewe ni mrembo hivi ..dah
Aisee! Nimebahatika kukuona leoπ.Mama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sanaππ½ππ½ππ½
Ooh,asante sana mpenzi....yabarikiwe macho yako kwa kuona hilo cuteπ₯°Aisee! Nimebahatika kukuona leoπ.
Wewe ni mrembo sana!
Aisee ..hongera sana..jimbo liko wazi au linamgombeaAsante kwa kuona hilo mkuuπ₯°
Kuna mtu nipo nazurura nae mkuuAisee ..hongera sana..jimbo liko wazi au linamgombea
HahahahahahaKuna mtu nipo nazurura nae mkuu
........
Cute jamniMama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sanaππ½ππ½ππ½
ππ½ππ½ππ½πCute jamni