Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Aache kabisa hizo storiHilo nimemueleza sana aisee
Hujamchachua udugu ,uje kumchachua mheshimiwa?ππππ Namchachua we muache ajimix
[emoji23][emoji23][emoji23]sema atakukana sio yeyeUzuri picha nimeitunza
Ngoja nipekue mafile yangu vizuri...nitamkumbuka tu.
Anachotaka kusema shemejiππππ Unanifanya nacheka sana, Anna unataka kuona nini??
Weee sema kweli??? ??? Umetishaaaa mteteziiiiiii na obese yangu sina mudaaaaaπWatoto sio issue, nakutoa mafuta ya tumboni, hips hilo linakua limenyooka
[emoji23][emoji23][emoji23]We weka tu
Kwani akimind anapasuka
Wamemindiana na udugu wake na hakuna aliyepasuka
Sembuse wewe kuweka picha?
Ila Anna leo umepatwa na kapepo ka ushari njoo nikuombee nkamu ππππHujamchachua udugu ,uje kumchachua mheshimiwa?
Heeπ€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23]sema atakukana sio yeye
Ngoja nikupe story, hizi picha bana za huku kumbe kuna muda sio. Kuna member hapa jf aliwahi kumuotea, akamuuliza ww mbona nimekuona mtandao flani. Aliruka kama sio yeye[emoji23], akakataa kabisa hata jf haijui ipoje
Nina dakika chache nitoke[emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu una mimba nyingine?? πWeee sema kweli??? ??? Umetishaaaa mteteziiiiiii!!
Wacha nikabandike mandondo wapendwaaa muwe na Jioni njema!!βοΈβοΈβοΈ
Na picha
Safi kabisa, haya ndio mambo sasaWeee sema kweli??? ??? Umetishaaaa mteteziiiiiii na obese yangu sina mudaaaaa[emoji4]
Wacha nikabandike mandondo wapendwaaa muwe na Jioni njema!![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Na picha
Usitutoe kwenye reliIla Anna leo umepatwa na kapepo ka ushari njoo nikuombee nkamu ππππ
Mh namchachuaga muulize??
Atakudanganya tu ππππAnachotaka kusema shemeji
Introπ
Atakukana kama hakujui vile, we subiri[emoji23][emoji23][emoji23]Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila najua miongoni mwa wale wadada matajiri na yeye yumo.
Wewe unachotaka atume ukamilishe majibu ya maswali yako ππππUsitutoe kwenye reli
Sisi tunaongea na mheshimiwa tuπ
Niruhusu nimpe Anna intro tu[emoji23]Atakudanganya tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana lolote anatafuta kuchangamsha kijiwe
Atakudanganya tu ππππ
Hana lolote anatafuta kuchangamsha kijiwe
Niruhusu nimpe Anna intro tu[emoji23]
Intro ya nini?? ππππNiruhusu nimpe Anna intro tu[emoji23]