Selfika na JF: Snap it. Show it

Na leo tena? [emoji23]
Niko na uduguu wangu, ujue kanimiss kipenzi chake lamama 😂😂😂😂
Halafu mi nampenda sana, nishawahi kukuchenjia kwasababu yake unakumbuka??
Yani niliweka penzi langu rehani yote kumtetea uduguu wangu, bonge nyanya wangu mama Miongozo 😘😘😘
Mi ndio rafiki yake wa kweli ambaye akizingua namchana live, siendi pm ya mtu kumteta namalizana naye hapa hapa….
Sema hapendi kuambiwa ukweli ndio shida yake
 
Tuwawekee ulingo mpigane[emoji23]
 
Umempa wakati mgumu Antonnia aisee[emoji23]
😂😂😂😂 Antonia uduguu wangu mi nampenda ndiomana namchana live na hata akinifurahisha nampamba live, halafu mi sio mnafiki namwambia ukweli….
Hata km ataumia ila ukweli kaupata, hata mimi nikizingua yy anichane ila kwa id yake halisi sio zile za michongo…..
Ukitaka ujumbe ufike vzr we mchane uduguu wako kwa id yako halisi….😂😂😂😂
Uduguu wangu nampenda sana alinitafutia hadi babu wa kutoka naye humu 🤣🤣🤣

Udugruuuu ana mambo, halafu yule babu wa kwake sasa sijui alitaka kugundua nini.??🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…