Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2918476

Charles kilian naomba tafsiri ya hii nyimbo, maana nimepiga bia ya 5 nakuta naanza kusikia huzuni Kila nikiisikiliza hii nyimbo ๐Ÿ˜œ
Kuna siku nasikiliza nyimbo ya kichina, si unajua walivyo wazuri kwenye violin na sauti.
Baadae na Google, Kumbe Ina hamasisha kuzingatia kilimo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€
 
View attachment 2918476

Charles kilian naomba tafsiri ya hii nyimbo, maana nimepiga bia ya 5 nakuta naanza kusikia huzuni Kila nikiisikiliza hii nyimbo ๐Ÿ˜œ
Mayday Adolphe Wangu Naja kwako Kutuliza moyo wangu mara Upendo unanifanya mjane wewe hai Mpenzi wangu niue wakati mzuri Adolphe
Ah Baba nalia nijibu samahani wapendwa Makaburi ya akiba shimo walilonunua pango Familia wamechoka kunifariji maana nakufa (tayari) Ah Baba nalia nijibu samahani Muteba.
Shimo la makaburi lilinunua caveau Familia imechoka kunifariji kwa sababu ninakufa (tayari) Ninaishi maisha yangu kwa siri Kwa sababu sifa yangu imechafuliwa nakuja kutumia hata wiki saoulรฉe Kwa sababu upendo uko mbali nami ah Adolphe umenipata. Nimeenda mbali na mimi ah Mayday mayday mayday, tafadhali nihurumie eh Ah mama, maisha yangu yamekuwa magumu Tangu Muteba alipoondoka (Adolphe) Mpenzi wangu Tshilamwina tangu Nenda mimi si mwanaume Roho yangu inauacha mwili wangu bila mpangilio.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Uduguu tuliza presha kwanza, kwahiyo leo kumwambia depal amchukue Miongozo umenuna tena.??
Kwani miongozo ww mumeo?? Si ana mke wake jamani??
Halafu hebu sema usikike usipige jungu, wee funguka moja moja, piem yangu umejaa ww tu mama miongozoโ€ฆ huyo mwingine niliyemfata nani?! Na nimempelekea nini?? Una ushahidi??
Acha kujishtukia udruguuuuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hamna hata anayekusema, halafu mimi nikitaka kukusema nakusema na hii id yangu inayokupamba sawa???
Haya tupia hips tusafishe macho kwanzaโ€ฆ.
Story na picha
 
Unaona sasa unatuonyesha kwapa la dela badala ya hipusi ๐Ÿ˜œ
Uduguu tatizo Una kisirani na kichaa cha mahusiano, sasa siku ile ulishindwa nini kupiga jungu km hivi kwa id yako halisi???
Ungefanya km hivi ungekuwa umetisha udruguu wangu ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Na leo tena? [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ