Asanteeeeee😁!Shingo la kukatikaa... Mambo yangu haya hahahah
mbona sikuhizi huniamini kabisa mke wangu, mashahiri hayo nlikuwa nakuandikia wewe mahabuba wangu, tulizo la wangu mtima.
Selfika basi mremboMashairi bila ya tag ni ubatiri.
#TheBeardman #LifeWithoutJo #Jo'sCrush❤️
View attachment 2914702
Joanah tatizo una misele mingi sana ☺️
oraaa weka maphotongaa nikuzoom
Jumamos leo siku ya misele 😁
Ndevu ugonjwa wangu 🤦♀️
Zipo zipo Jo, za kushika shika hapa na kubrush shavuni na shingoni 😉
Ukirudi nambieSelfika basi mrembo
ushachelewa😅Afadhali umenikumbusha...hebu weka picha chap!!
ushachelewa😅
ni leo mchana kagua huko nyuma utaikuta
hapo sasa🤣 kama ni leo haiwezi kuwa mbaliIlikuwa page ya ngapi kwani? 😆
hapo sasa🤣 kama ni leo haiwezi kuwa mbali
watu wakiquote hazifutiki
usikute ushanijuaNimeshaipata aseee 😆
Sasa mbona umeweka nusu sura...si ungefanya kama wenzako ungeziba kwa kiua ama kiemoj
NipoooUkirudi nambie
usikute ushanijua
haya weka picha😂
una chenga wewe😂Unajua huu uzi nipo tangu unaanza...japo huwa sipiti sana huku
Katika picha zote nilizobahatika kuona hakuna hata mmoja ninayemjua nje ya JF
Na ndio maana mtu akisema wanaJF sio wa sayari hii naamini 😅
una chenga wewe😂