Sawa mama zamu yakoπππππ uko msupuuuu mahi
Kamwanya sasa ππ
Nyie jf kuna visu no filter, no black and white
Kitu og kabisaaaa awwww π₯°π₯°π₯°
Weee mahi una hatareeee ππππππ
Nimekua mnene acha.Weee mahi una hatareeee ππππππ
Toka selfika ianze hii ndo pisi kali kuliko zote
Sasa kwann hujaenda kutuwakilisha Miss World jamani?? π₯°π₯°π₯°π₯°
Mwaka huu wakupe Miss JF unastahili kabeeesaaa πππ
Kuviachia itakuwa uongo πππAchana navyo hivo
Nendeni mkatolewe menoKuviachia itakuwa uongo πππ
Coca tukutane wapi tukafate vyombo mdogo angu?? π€£π€£π€£
Nimeazima simu yangu imeisha chaji, nione kesho mapema natupia foto hapa πSawa mama zamu yako
Ukianza nishtue na mi basi, mana nimebongeka mpk sio poa ππππNimekua mnene acha.
Ila soon naanza diet kidg kidg kuna size fulani naitaka.
Haya zamu yako
Mapema uongo Lamomy labda jion au mchanaNimeazima simu yangu imeisha chaji, nione kesho mapema natupia foto hapa π
Haya sawa ila na mazoez kidg kidgUkianza nishtue na mi basi, mana nimebongeka mpk sio poa ππππ
Nani atutoe meno?? πππNendeni mkatolewe meno
Mtakutana na wenye wamecheza JudoNani atutoe meno?? πππ
Wee tuna mkanda wa karate π€Ίπ₯·πΏ
Kweli mapema ikijaa chaji tu, mzigo nakushushia no filter afu nakuita mahi ππππMapema uongo Lamomy labda jion au mchana
ππππ na sisi tunanyanyua vyuma ooohMtakutana na wenye wamecheza Judo
Fanya hivo πππHaya sawa ila na mazoez kidg kidg
Ndio,βΊοΈβΊοΈFanya hivo πππ
Thubutu subiri uje ubabuliweππππ na sisi tunanyanyua vyuma oooh
Kwanza nguvu hawana
Eeh basi poleWee dear mbona sioni hizi jumbe zako? Wallah hata sizioni.
Punguza tuoneHaha nikipunguza si ndio utagoma kabisa kuja kudeal na hizi pazia π
Uko vizureeee sis you are supa tall na mwili wako mzuriiiiiii black biuriiiiiiiπππππ!Kwa Mjep
Alafu me sio mrefu nalingana urefu na Mahondaw kabisa.