Hapa unanisema Mimi sasa nishaanza kuota mvi kama zoteπ!π
Ila ongezea na mvi π₯΄
Nimemficha manyakunyaku yasimuibeπππππ Shem coca umemficha wapi??
Haya subiri napita naked ss hivi
Polee na hongera!ππHapa unanisema Mimi sasa nishaanza kuota mvi kama zoteπ!
Nauona Uzee huu hapa π€
ππππ Mwenzio uzao wa kwanza huu naogopa zongo uduguuuWee acha zako udugu hebu uubles mchana wangu jamani!
Anaetaka kukuroga nae abebe!
Mwambie namsalimia sana, nimemmiss aje anipe hata hi basi π₯Ήπ₯ΉNimemficha manyakunyaku yasimuibeπ
Hii naked naamini haijawekwa inanisubiri
Haya weka niko hapa
π jirani dhambi n zile zile hata usipolewaHalf american jirani nikiwa kwaresima huku natafakari neno πππ
We hakuoni jirani?πππππ Mungu anakuona jirani
Sijaona rudia tena jiraaaaniπNishapita si umeona jirani πππ
Za lini sasa hizo hangover au za mzuzu?ππππ nikikwambia jirani umeamka na hangover unakataa
Umeanza lini kuogopa kuselfika lamama!π€ ???Half american jirani nikiwa kwaresima huku natafakari neno πππ
πππ Silewi nakunywa mvinyo banaπ jirani dhambi n zile zile hata usipolewa
πππ Acha tu nna kibendi uduguuUmeanza lini kuogopa kuselfika lamama!π€ ???
Umepitwa jirani πππSijaona rudia tena jiraaaaniπ
Uongoo! Weka tuone kama kweli!πππ Acha tu nna kibendi uduguu
Sijapenda utanifanya nifungulie pombe kwa hasiraUmepitwa jirani πππ
Mbona wao wanakunywaga wanaita divai, mwagilia huo moyo uchipue ππππ Silewi nakunywa mvinyo bana
πππ Huamini.?? Ww subiri mwisho wa mwaka Max anapata mjukuu kutoka kwa member wake wa jf π€£π€£π€£Uongoo! Weka tuone kama kweli!
Woga sio sifa yako kabisa π
Ww sema ulikuwa unatafuta sababu ya kutaka kulewa jirani πππSijapenda utanifanya nifungulie pombe kwa hasira
πππ Jirani unanifundisha uleviMbona wao wanakunywaga wanaita divai, mwagilia huo moyo uchipue π