Kabiiiiiiiiiisa! mambo yake namuachia mwenyeweYule mambo yake muachie mwenyewe...
Hongereni kutusaidia Arsenal kusogea kileleni, hapo tunaombea Liverpool apoteze ama apate Sare ili Tembo sisi tukae juu mtini 🤗💪
Kikafu hii, moshi moja.😂😂😂🌸🌸 nature is beautful. View attachment 2903827
Ni Arusha.Kikafu hii, moshi moja.
AiseeNi Arusha.
Maparachichi haya haya yanayoota kwenye miti au yale mengine😉🤔Nani yupo Mbeya anahitaji maparachichi?
Nina maparachichi yataoza sasa
Maparachichi ndiyoMaparachichi haya haya yanayoota kwenye miti au yale mengine😉🤔
Niko kadege hapa, nipe mwongozo ila yawe na mafuta tu.
Anahitaji akutafute wapi? Kwa njia gani!?Anayehitaji anitafute
Yote haya yanaiva kwa wakati mmoja