Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Hizi saa siyo nzuri mdogo wangu, zinasababisha kichwa kuuma alafu zinaleta harara😅Home village
Hizi saa siyo nzuri mdogo wangu, zinasababisha kichwa kuuma alafu zinaleta harara![]()




Dah kipande bei gani ?Ndiyo Mkuu vipande vinauzwa
Karibu sana
ila mkuu acha niseme tu unakuwaga mrembo😅Home village
200 tu bossDah kipande bei gani ?
Asante Mkuuila mkuu acha niseme tu unakuwaga mrembo😅
Mwananchi muitaliano
View attachment 2906053
Njoo uchukue my 😂😂🤣😂Nigee kitambi kidogo Cha kufutia simu
unikumbushe pasaka mkuu nitaweka kwa heshima yakoAsante Mkuu
Ubarikiwe
Ya kwako iko wapi?
Pasaka kote huko?unikumbushe pasaka mkuu nitaweka kwa heshima yako
Njoo uchukue my 😂😂🤣😂
ni ahadi hiyo nimekupa mkuu😅Pasaka kote huko?
Weka tu leo Mkuu
😂🤣😭😭😭😭😭😭Usije ukaanza kulia maana wewe kwa kulia hujambo😂
Sawani ahadi hiyo nimekupa mkuu😅