πHii korido ikianzaga manenoπ€£
Ulisema unaenda shimo aka creater. Ulifanikiwa?Youβre a good guider.
Bahati yako siwezi kusema mtu hapa,ningekusema leoπ€£.Huyo atakuwa sio mimi aisee!! πππ
ππ mbona koridoHii korido ikianzaga manenoπ€£
Ww hebu tulia.!!Bahati yako siwezi kusema mtu hapa,ningekusema leoπ€£.
Wishing you a slammin' Valentine's day mama naniiii wa forest .... anakusalimia sana.
Yap nilifanikiwa ndio maana nimesema hapo wewe ni guider mzuri. . Nilifata ushauri wako wa zile sehemu ulizopendekeza, ni π₯ sana. Ipo siku nitajizima data niweke πΈ hapa ujionee. πUlisema unaenda shimo aka creater. Ulifanikiwa?
Nilikuwa naye wiki 1 iliyopita,tulipata picha ya kumbukumbu.Ww hebu tulia.!!
Mbona unaanza kumix mambo ww?? Ntakitia wajukuu zake Abood ππππ
Wanakujaga wanakiwasha korido inafungwaππ mbona korido
Soda unatumia?
Reason behind? Ushawahi mshuhudia mgonjwa wa kisukari? Au tu ni unaamua kuweka afya fit zaidiUsed to, now hapana
Mxiewwwww!! Itume nione km yy kweli πππNilikuwa naye wiki 1 iliyopita,tulipata picha ya kumbukumbu.
Hao wajukuu wapo duniani?waambie "mgiriki" nawasalimia kama watanikumbuka.
Inapendeza. Live ur life with full of sweet, remarkable, great & different experiences.Yap nilifanikiwa ndio maana nimesema hapo wewe ni guider mzuri. . Nilifata ushauri wako wa zile sehemu ulizopendekeza, ni π₯ sana. Ipo siku nitajizima data niweke πΈ hapa ujionee. π
Reason behind? Ushawahi mshuhudia mgonjwa wa kisukari? Au tu ni unaamua kuweka afya fit zaidi
Nitatuma ila si hapa ,kwenye thread nyingine na nitakuita.Mxiewwwww!! Itume nione km yy kweli πππ
Sema nili left kitambo kwenye lile group lao la WhatsApp, ntamtafuta shostingo wangu mmoja wa kilakala nimuulizie
πππ Ila sina uhakikaNitatuma ila si hapa ,kwenye thread nyingine na nitakuita.
Namfahamu huyo,jirani kilakala kwa winga.π€£
My life is a story. Thank you for taking part in it. πInapendeza. Live ur life with full of sweet, remarkable, great & different experiences.
........si mchezoView attachment 2903665
Nkamu ni heri nilale njaa ila ngozi itulie[emoji3] haya uanze vaa socks na kulala nazo
WaoView attachment 2903665
Nkamu ni heri nilale njaa ila ngozi itulie[emoji3] haya uanze vaa socks na kulala nazo
πππ Ila sina uhakika
Anaitwa nani km kweli unamjua.??
Miaka yote jina nilikumbuke?but the shorty was pint sized na alikuwa mkorofi,anaongea sana. I hope sasa amekuwa mumama or bibi.πππ Ila sina uhakika
Anaitwa nani km kweli unamjua.??
Unajitahidi mwenyewe ππππMiaka yote jina nilikumbuke?but the shorty was pint sized na alikuwa mkorofi,anaongea sana. I hope sasa amekuwa mumama or bibi.
π€£