Bado umesahau jibu 1.vinadatisha
Ferero [emoji7][emoji7] one among the best chocolate.
Beautiful eyes πSiwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Huwa mnaazaga hivi hivi then unafungwa...Ndio kichaa kwani unajiona zimo halafu tutolee laana zako kwenye uzi wetu usifungwe kwa uchizi wako kama huwezi kuweka lisura lako kaa kimya kima mmoja weπππ
Leo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Hii kweli V day..tunaoneshwa macho sasa..dah vijana mnafeli wapi ?
Ngojaaa...
Kwanini hupendi? Au ule usukari mwingi mixer utamu?Got nuts in it, too bad I donβt like chocolate
Hahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishikeLeo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Tuonyeshe mfano basi...πLeo mnatupatia picha nusu nusu,uchoyo tu,rafiki.
Washawishike kufanya nini?πHahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishike
HahahahahahaWashawishike kufanya nini?π
ongezea wewe kama mdauBado umesahau jibu 1.
Wanafanya kusudi eh?Hahahahahaha...ndio ujue leo Valentine day...ila vijana mnafeli ..mnaoneshwa macho..dimples ..mshawishike
Hahahahaha...ndio maana ake...Wanafanya kusudi eh?
My sisterSiwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Kaka Chaz πππ yule mwanetu wa kule kwenye movie yukwapi!? Kitambo sijamuonaMy sister
Tuonyeshe mfano basi...π
And please delete the attachment!ππΎ