ππ kichaga cha oxfordHii umeandika kichaga cha ndani ndaniii
Hata sielewi
umetisha depoo mafoto ya leo ni nomaππ kichaga cha oxford
Mwambie Dr Lizzy arudie basi mbona anafuta kabla sijathibitisha?ππ kichaga cha oxford
Na wewe fotoa basi chiefumetisha depoo mafoto ya leo ni noma
ntawasuprise chief siku moja isiyo na jinaπNa wewe fotoa basi chief
Sijaona ile kishimo ya pembeni ya shavu.πSiwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Macho yanadondokeaSiwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
Wewe hilo shimo ni ulemavuhahaaa mnavipendea nn!? Na mshamba_hachekwi pia ππView attachment 2903596
Ahsante,hahaaa mnavipendea nn!? Na mshamba_hachekwi pia ππView attachment 2903596
πππ nina mpango mkakati mwaka huu. Nimwagepo mchanga nipige cementWewe hilo shimo ni ulemavu
Hakikisha unawahi hospitali mapema
Ferero ππ one among the best chocolate.Kuna yule one kid unajua tu kwamba lazima afanye jambo [emoji16]
πππ nina mpango mkakati mwaka huu. Nimwagepo mchanga nipige cement
Tuone ule uchebe wetu πumetisha depoo mafoto ya leo ni noma
vinadatishahahaaa mnavipendea nn!? Na @mshamba_hachekwi pia
Naomba qoutation tuanze kazi ππMimi ni fundi mjenzi huo utaalamu ninao usiniyime kazi
Siwezi kusuka. 70% kusuka kuna kata nywele. Sihitaji kuwa na komwe la kujitakia View attachment 2903588
π€£π€£π€£π€£Niliona mtu amekaa zake kwenye jiwe anatizama waterfall. Akili ya haraka haraka ikadhani ana manifest.
Ingine kuna boat riding nikakuta viposh kid viko na basket π ah nikajisemea riding ya nusu saa tu jaman mpk na vibasket?
Hahaa ushua ni mwingi kwako ehee. Mpk vi picnic basket πππ
Ebu tuoneππ€£π€£π€£π€£
Ushua wapiii...
Ni mbwembwe tu!ππ
hahaaa mnavipendea nn!? Na mshamba_hachekwi pia [emoji23][emoji23]View attachment 2903596