Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii cake nilipanga nimpe zawadi Tayana-wog kipindi cha bday yake nikala ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Joannah sisy naomba nikupe cake ya valentine 😍😍😍
Anne mtengenezee da Joa cake
Mwee
Kwahiyo Wizo wangu ameikosa!
Aipate tu hivyohivyo, hakuna namna.. na Mtumishi Joannah apate pia,, uzuri hamna mbambamba matajiriπŸ˜‚


Joannah una keki yako kwangu.
 
Wale wa get together 🀣🀣🀣
Wale nasikia ndo walikuwa balaa kwa kupelekeana moto mtafute Madame B akwambie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yes, Kuna nyuzi zao humu πŸ€£πŸ™Œ
Mi sijawahi enda nilikuwa naogopa kipindi hiko....

Hatari Kulikua na Kila mkoa duh , ila walikula maisha
Ni vile zile nyuzi zimekua edited sn na mods kiasi kwamba ukisoma hupati content πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…