Njoo uchume MkuuNaomba parachichi
NajaNjoo uchume Mkuu
Pombe mbona kitambo sana nazikata
Halafu silewi hata
Mwe Nkamu niliacha,ila nilikuja kwenye baridi nikazirudia socksVipi maendeleo ya Miguu Nkamu
Malaika wa gizaa mambooHahaha hata hivyo siyo Kesi waweza tubless tu na nyingine ππ
Aahh safi niambie shetani lake, habari za kupotea, vipi umeacha upampula siku hiziMalaika wa gizaa mamboo
Ni kinywaji kimoja kisicho na kileo na inasemekana kina faida nyingi za kiafya. Hiyo picha uliyoweka inafanana na brand mojawapo ya Kombucha.Kombucha ni nini?
Nimwachie nani mamaa.... Mpaka ziniuee maninaaa hahahaAahh safi niambie shetani lake, habari za kupotea, vipi umeacha upampula siku hizi
Weee πNimekataa 2 groups za wasap
Japo Zina ma legend ila ,mmhh
Nimeona cake nimekumbuka kumbe nakudai cake yangu πππChukua basi vipande hivyo
Kyala ulinamaka, ngana nongwa na ugwe
Ila zipo, na Zina Nia njema tu ya kusaidiana etc,nilivyoambiwa!Weee π
Hadi groups za WhatsApp zipo.?? π€£π€£π€£
Sa mnajadili nini??
Kumbe ni mwaisaaa weweπKyala ulinamaka, ngana nongwa na ugwe
a polyglotKumbe ni mwaisaaa weweπ
Mmmha polyglot