Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah hujawahi ona sio kwamba sijawahi weka, wale wadau wa zamani kama Mahondaw Jadda watakuwa wanakumbuka...

Sakayo πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š, nisimjibie kama akiona mention hiyo juu atajibu...
Leo nimeona koments Zangu za Zamani kwahuu uzi nikacheka sana!!

Kweli siku zinaenda!

Muwe mnatupia kama hivo Inapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…