Sasa haya ndo mambo nnayoyapenda kutoka kwako π
Tuko pamoja katika kulijenga taifa
Kiswahili inaonekana ulifaulu weweππππ maneno 20 net hakijaongezeka kitu hakijapungua kituππ
Basi ngoja tuendelee kukaa mkao wa dramaππ½ββοΈ