Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa haya ndo mambo nnayoyapenda kutoka kwako πŸ˜‚

Tuko pamoja katika kulijenga taifa

Kiswahili inaonekana ulifaulu wewe😁😁😁😁 maneno 20 net hakijaongezeka kitu hakijapungua kitu😁😁

Basi ngoja tuendelee kukaa mkao wa dramaπŸƒπŸ½β€β™‚οΈ
 
Tuko pamoja mpk watuue 🀣🀣🀣🀣
 
Tuko pamoja mpk watuue 🀣🀣🀣🀣
Naam naam
Notification ya mod ndo imenileta huku aisee

Naona mod kachangia uzi flani sasa nikashangaa kweli uzi una madini gani mpaka mods wanachangia mada πŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja nikaonepo nini kipo huko ndo nakutana na mapicha picha

Ila nilipokuona nikasema baaasi hapa hakiharibiki kituπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…