nipoo mamiii....pombe nimeacha siku hizi nakunywa bia tu hahahaha, haya tupia kiuno chetu kileee π πChapombeeπππ
Upo?
Kitambo sana
Happy new year
Kweli wifi mi nasubiri nione rangi ya mtume hiyo πππAah thubutu
Tumesikia. Wale nyatia nyatia couple hii couple haina reverse gear
Lakini pia omuasil amechagua pazuri sanaCouple yetu ya kijeshi hii, ukimchokoza mmoja tunakusuuza wote π€£π€£π€£π€£
gija niwaambia wale nyatia nyatia uwe Ke au Me usiguse couple mtukazi.Mkuu naomba umuite mkeo Tayana
ewaaaaah now ur talkinYaani hata flying fish sigusiππππ. Kwanza nikienda viwanja naanza kusinzia hahhahaha . Sema nitapita hapo kukusabahi, nitakunywa hata mocktail
ππππLakini pia omuasil amechagua pazuri sana
Hongera Tayana-wog
Una uhakika.?? Hao wanataniana hawako serious π€£π€£π€£π€£Lakini pia omuasil amechagua pazuri sana
Hongera Tayana-wog
Baba unayaweza wewe πππππππMkuu naomba umuite mkeo Tayana
Asante mamaNikitulia ntakusamaraizia vzr usijali nipo hapa kwaajiri hiyo [emoji12]
Heeπππnipoo mamiii....pombe nimeacha siku hizi nakunywa bia tu hahahaha, haya tupia kiuno chetu kileee π π
Nilishasema hapo hakuna "utani"Una uhakika.?? Hao wanataniana hawako serious π€£π€£π€£π€£
Tupia ndo uondoke mama miongozo π€£π€£π€£π€£Tena huku zinapatikana zinazokula mihogo magimbi yugali maharage dagaa kwasanaaaaa ! Afu hazijareeee wala nenee!
Kesho nayo ni siku wapendwa ποΈβοΈ
Nilikuwa nakuona kwa mbali kule Afcon.Mdogo wangu saint Anna....long tym...
Naona wameturudishia uzi tuselfikee...
Ni heshima waliyonipa jana kunitambulisha, na uzuri hawa tunaheshimiana sana. Siwezi kubali mtu amnyapie Tayana, wakati mdogo wangu omulasil yupoBaba unayaweza wewe πππππππ
Saint anne dada mchungaji za masiku? Nimekumiss sana....Heeπππ
Kwahiyo bia siyo pombe π€£π€£π€£
Nitupie kiuno ama pipaπ
Nina tumbo kama tembo cement siku hizi.
wamekufanya nini tena? daaa binadamu wabayaaHeeπππ
Kwahiyo bia siyo pombe π€£π€£π€£
Nitupie kiuno ama pipaπ
Nina tumbo kama tembo cement siku hizi.
Ww ndo unaforce iwe kweliβ¦!!!Nilishasema hapo hakuna "utani"
Lakini pia hawa sio utani Tayana mwenyewe ameniambia Jana.
Sasa kweli tayana aniambie alafu mwanaume omulasil ashindwe hata kujiongeza? Si itakua aibu
Yani kule ninabip tuu...ila leo nitakuwepo saa mbili za saa tano siwezi...Nilikuwa nakuona kwa mbali kule Afcon.
Wameturudishia kijiwe chetu pendwa.
Mfyuuuu.!!! πππππNi heshima waliyonipa jana kunitambulisha, na uzuri hawa tunaheshimiana sana. Siwezi kubali mtu amnyapie Tayana, wakati mdogo wangu omulasil yupo
Sisi kwetu huwa hatuibiwii