Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,299
Ipoo...hapa just for fun... 😆 😆 😆Hapo ndio penyewe, yaani kila sifa ipo. Tuone tu vidole kama hamna 💍 tuanze kushusha nyavu😂
Ipoo...hapa just for fun... 😆 😆 😆Hapo ndio penyewe, yaani kila sifa ipo. Tuone tu vidole kama hamna 💍 tuanze kushusha nyavu😂
Mbona sasa umeolewa mapema sana kipenzi? (Kidding)Ipoo...hapa just for fun... 😆 😆 😆
kamati ya mapambo unasimama wewe Dr Lizzy huyu kamati ya misosi nampaa, haya sasa mrembo aje tu kutuwekea picha za vidolee😂Hapo ndio penyewe, yaani kila sifa ipo. Tuone tu vidole kama hamna 💍 tuanze kushusha nyavu😂
aaaaah..... niendelee kunywa bia tuIpoo...hapa just for fun... 😆 😆 😆
Mbona long tym dear...mimi dada ako..Mbona sasa umeolewa mapema sana kipenzi? (Kidding)
Hazard CFC umeona sasa? Wadada wazuri wazuri wameolewa….. malizia mwenyewe😂😂😂
daaaa halafu nikinywa bia unanisemaaMbona sasa umeolewa mapema sana kipenzi? (Kidding)
Hazard CFC umeona sasa? Wadada wazuri wazuri wameolewa….. malizia mwenyewe😂😂😂
Ungesubiri subiri kidogo jamani, ona sasa umeshaumiza hisia za Rafiki yangu😔😔😔.Mbona long tym dear...mimi dada ako..
Duuh watu wengine tuna mifupa migumu hahahaaa 😂Ungesubiri subiri kidogo jamani, ona sasa umeshaumiza hisia za Rafiki yangu😔😔😔.
Ahh weee unaonekana katoto ka juzi hata mashavu hayajashuka bado ndio uwe dada yangu?
Usinywe bia kwanza ngoja kwanza kidogo utapata mwingine soon.daaaa halafu nikinywa bia unanisemaa
Hata kama wewe bado ni mdogo sana. Hivi ndio umefikisha twenty ngapi vile??Duuh watu wengine tuna mifupa migumu hahahaaa 😂
Mid 30'sHata kama wewe bado ni mdogo sana. Hivi ndio umefikisha twenty ngapi vile??
hivi dada yangu jael sijui atoto yupo humu kwelii?Hata kama wewe bado ni mdogo sana. Hivi ndio umefikisha twenty ngapi vile??
Unamdanganya nani ? Ukifika 30 ndio utaelewa namna mashavu yanavyobadilikaMid 30's
Usinchekeshe my dear....just believe itUnamdanganya nani ? Ukifika 30 ndio utaelewa namna mashavu yanavyobadilika
🔥🔥🔥🔥👌👌Samalekoo
View attachment 2897131
Kwamba bado kigoriUnamdanganya nani ? Ukifika 30 ndio utaelewa namna mashavu yanavyobadilika
Sawa sawa hii ndio selfika mpya sasaSamalekoo
View attachment 2897131
aanze kuja kunisema 😂Yupo ngoja nikuitie. Atoto mdogo wako anakuita