Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Oyaa naona Bado una lalama, Kama vipi Kafie mbele.Huyu jamaa aliyeanzisha hii post ndio sababu
Alafu we jombaaa, utakuja usababishe majanga mengine.Huyu jamaa aliyeanzisha hii post ndio sababu
Huku mlidai ni amani tu vipi tena wadau??Oyaa naona Bado una lalama, Kama vipi Kafie mbele.
[emoji117]Who the hell do you think you are??, Kill saaa una Tafuta attention maza fantastic wewe.
Wameshindwa kusameheana yaani tabu tupuHuku mlidai ni amani tu vipi tena wadau??
Ni vijimambo tuu hali iko shwaaari 🍻Huku mlidai ni amani tu vipi tena wadau??
Aloo kazi ipo.Wameshindwa kusameheana yaani tabu tupu
Rafiki, uko poa??Ni vijimambo tuu hali iko shwaaari [emoji482]
Niko poa kawaida sijui wewe 😄Rafiki, uko poa??
Nko poa. Leo unajidai wapi ama upo zako tu home?Niko poa kawaida sijui wewe [emoji1]
Nipo kwa rafiki yangu hapa tuna badilishana mawili matatu 😄Nko poa. Leo unajidai wapi ama upo zako tu home?
Msalimie sana.Nipo kwa rafiki yangu hapa tuna badilishana mawili matatu [emoji1]
Zimefika 😄🍻Msalimie sana.
Shida Kuna mtu ana ugonjwa wa simping 🤒😂🤣.Huku mlidai ni amani tu vipi tena wadau??
Hali Ina takiwa kuwa shwari, sio mtu ana unguruma ka Chura wa milembe.Ni vijimambo tuu hali iko shwaaari 🍻
Madam USI amini kwa kusikia, learn to use your brain effective.Like serious? Bt how? Kwann ht nimekuja hapa
Acheni hizo basi. Mambo ya kuzozana kila muda sio poa kabisa.Shida Kuna mtu ana ugonjwa wa simping [emoji855][emoji23][emoji1787].
Madam nime kaa kimya toka juzi, still Kaka kuni address leo.Acheni hizo basi. Mambo ya kuzozana kila muda sio poa kabisa.
Potezea bwana. Haya ndio yatafanya mambo kama ya selfika yarudi na huku.Madam nime kaa kimya toka juzi, still Kaka kuni address leo.
[emoji117]Eti kisa fulani??, Kala ban for real??
More love less ego 🤒💪Potezea bwana. Haya ndio yatafanya mambo kama ya selfika yarudi na huku.