Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia dogo. Siku ile umenitumia meseji nilikuwa Mwanjelwa (we mnyakyusa wa mjini utakuwa hupajui ila Saint anne lazima anapajua) nilirudisha jibu halafu nikaweka tena simu mahali pake jioni naiangalia simu kumbe sikuwa na SMS kwa hiyo meseji ikawa imefeli kuja.
Niweke screenshot au?
 
Sasa mbona ulikuwa unakana sijakutext?
Mwanjelwa ndo jikoni kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…