Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Dah kumbe nawe una chuki binafsiπ€, amani itawale πππ.Huyu dogo waki Sana mkuu.
Dili naye tu.
Ngojea Dc akudandie wewe!Sinza ndo mnara wa internet huko daslam ??? ππ€
πNiko nanjilinjiππ€
Oyaaaaa!Dah kumbe nawe una chuki binafsiπ€, amani itawale πππ.
πI mean no malice to nobody
Tatizo nini mkuuπ€π€π€,Huyu dogo waki Sana mkuu.
Dili naye tu.
Shida ni kumtag Aaliyyah tu, au una lako jipya ???.Kaa mbali na mali za watu.
Mimi Sina maneno mengi Kama cantry mkuu.
Mkuu Hata angekuwa ndo mtoa Roho, huwa Nina heshima kwa wanao niheshimu.Ngojea Dc akudandie wewe!
Ushaanza kujificha ficha tiyari haha.
Dah nikajua uko serious π€π€, sema fresh tu.Oyaaaaa!
Mi mzunguaji tu bro
Take it easy aisee.
Nakuzingua tu
Hahaha kwaiyo hivi kweli mnavita humu.Mkuu Hata angekuwa ndo mtoa Roho, huwa Nina heshima kwa wanao niheshimu.
π Japo mi jobless, a.k.a choka mbaya, ila trust me huu mchezo sio mwepesi Kama mnavyo fikiriaπ€.
πTuta lambishana Hata cement nyeusiπππ
Haha mi Sina machuki na babyz wenu wa jf.Dah nikajua uko serious π€π€, sema fresh tu.
π I mean no malice to nobody π€
Ndugu yetu atakuwa ana hasiraa au kapitiwa tu,Hahaha kwaiyo hivi kweli mnavita humu.
hehehehe! Si mtulie mpige pull tu
Daah mwamba ana umuka kisa le bubuz lakeπππ.Haha mi Sina machuki na babyz wenu wa jf.
Kimboka nimuache Nani Sasa.
Haha!Daah mwamba ana umuka kisa le bubuz lakeπππ.
πAkati SI Wengine wasomaji was app za kina meloπππ€
Kapachino mchokoziπππ€Kuna nn Tena
Dah mi kubet hapana, siwezi mchangia muhindi Ada ya watoto wake shuleni πππππ€£π€Haha!
Vita yenu kubwa nyie nawaachia wenyewe.
Nisije pasuka nikashindwa bet kesho
Nyie wakuu mmetuambia tujiajiri vijanna. Hivyo tumejitafutia chaka letu huku.Dah mi kubet hapana, siwezi mchangia muhindi Ada ya watoto wake shuleni πππππ€£π€
Bora we ume jiajiri, mi mwenzio ni joblessπ€π€Nyie wakuu mmetuambia tujiajiri vijanna. Hivyo tumejitafutia chaka letu huku.
Mimi pia hii haiwezi[emoji1787]Dah mi kubet hapana, siwezi mchangia muhindi Ada ya watoto wake shuleni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji855]
Mida mida! Ngoja niinge dancefloor kubambia hapaBora we ume jiajiri, mi mwenzio ni joblessπ€π€