Selfika na JF: Snap it. Show it

mimi najua kupika vyakula simple vya wavivu km hiviView attachment 2731467
Kwa kweli nikisema nikuoe utateseka sana kama ndio vyakula kama hivi.
Kwanza sie hapa nyumbani kabla ya kula ugali tunavua mashati, ugali tunakata na panga, lazima ujue kupika mlenda n.k. hizo tambi kwetu ni mboga hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…