Kwahio unanipangia cha kufanya na maamuzi humu?? Kwamba kwakua hao wamezushiwa wakakaa kimya ndio nawengine tufanye the same???? Hapo Umekwama sana !Tatizo unaongozwa sana na hisi kuliko uhalisia. Hoja ilikuwa kwanini watu imekuwa wanachafuana sana .. swala la kuzushiwa kila mtu kazushiwa na kuchafuliwa kwa namna mmoja ama nyingine.. Haya nani afanya hayo kwa watu ? Tume mpata Penseli 4.. na kuna mwingine huyo Rabi.. na pote huko wengi wamechafuliwa kwanini hawajapani sana kama wewe ? Maana kuna watu wameambiwa wana ukimwi wengine mafigo etc.. kwanini wamekaa kimya ila wewe ulie pewa sifa nzuri umekuwa msatari wa mbele kushambulia ?
😅😅😅😅 Nipo hapaTatizo wewe unaingilia yasiyokuhusu mbaya zaidi unanitaja kwa kujiamini kabisa as if una uhakika na unachokiongea!!!
Tulia hapo nikuoneshe mchawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kiufupi nawe unashareMimi mbona namilikiwa na anaenimiliki kakabidhiwa wa kuwamiliki humu[emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeShida Kuna watu wana Pigana vijembe, na iko wazi Wana julikana.
Why should you kill him, when the nigga is just delivering the bitter truth.Ahhh duhh siyo Poa aisee
Kill the messenger
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaacha vituko vyako
Nipo rfk angu, majukumu tu
😅😅😅😅😅😅Kwahio unanipangia cha kufanya na maamuzi humu?? Kwamba kwakua hao wamezushiwa wakakaa kimya ndio nawengine tufanye the same???? Hapo Umekwama sana !
Wacha weee???? Hongeraaa!!. Turudi kwenye point yangu . Naomba uniambie nawachafuaje hao watu unaowasemea??Nakuambia unaongozwa na hisi.. Sina mwanamke JF, sijawai kuwa na mwanamke JF, sijawai lala na mwanamke JF.. haitaaa itokee.. Una fail hapo hisia alafu sio sawa
Tulia nikuoneshe mchawi😅😅😅😅😅😅
Unahisia zaidi.. Haya simsemei mtu.. unataka nini tena ?Wacha weee???? Hongeraaa!!. Turudi kwenye point yangu . Naomba uniambie nawachafuaje hao watu unaowasemea??
Madam ukisoma Humu hta elewa Vita ya Israel na palestina, haiwezi Isha😁🤒Aiseee
Haya ngoja tukae pembeni tuone mwisho wake 😅😅
😅😅😅😅😅 na mie ni mchawi kweli kweli..Tulia nikuoneshe mchawi
Vijembe tana?Shida Kuna watu wana Pigana vijembe, na iko wazi Wana julikana.
Why should you kill him, when the nigga is just delivering the bitter truth.
[emoji117] Instead of embracing him for the good deed, he has done.
[emoji117]Some people have started to rabel National Anthem as a snitch or traitor [emoji855]
Madam Soma uelewe shida Ina Anza mbali😁🤒Vijembe tana?
Vijembe tana?Shida Kuna watu wana Pigana vijembe, na iko wazi Wana julikana.
Naelewa ,mi wa kitambo sema Huwa napotea sbb ya hayahaya😂😂Madam ukisoma Humu hta elewa Vita ya Israel na palestina, haiwezi Isha😁🤒
Karudi na I'd mpya TinsleySasa mkalimani wangu [mention]Tinsley [/mention] kahakiwa sasa itakuaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nimuulize maana ni kuku wa jirani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kiufupi nawe unashare