Selfika na JF: Snap it. Show it


UKIMWI TENA NA FIGO
GONO JE
Ila siyo poa aisee haipendezi bana
 
Imekua too much humu!! Shida ni kuingilia yasiyokuhusu na kunikomalia kama nawe tumeshea bwana vile!! Hao wanawake zako chanzo inasemekana niyule bwana! Haya wewe umesema nawachafua Naomba uniambie nawachafuaje???
Ulikua unaniita mchawi kwa kukurupuka tu bila kutumia akili sasa ngoja nikuoneshe mchawi na wengine ni watu wazima humu watajia mchawi nani hapa!!

Wait hapohapooo Usitoke!!
 
Mambo ni mengii sana yanii weee pitia post za nyuma usichoke utaelewa vizuri kwa kuanzia anzia hapa !! Hii ni post kutoka kwa National Anthem!! Akiniongelea mimi!!
Eeh yaani humu ndo maana mi Huwa napotea
Ile maana ya selfika imepotea ss hata hakupendezi tena
 
Huenda jiwe Lili mfikia mlengwaπŸ˜πŸ€’
 
Na mie sijasema hayo.. nimechukua ujumbe kama ulivyo nikaupitisha kama ulivyo nikawaambia huyo kirusi ndio anavuruga.. sikuongeza hata nukta.. vita imehamia kwangu πŸ˜…πŸ˜…
Tatizo wewe unaingilia yasiyokuhusu mbaya zaidi unanitaja kwa kujiamini kabisa as if una uhakika na unachokiongea!!!

Tulia hapo nikuoneshe mchawi
 
Sema [mention]National Anthem [/mention] na [mention]Antonnia [/mention] wanapendana bana [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Nakuambia unaongozwa na hisi.. Sina mwanamke JF, sijawai kuwa na mwanamke JF, sijawai lala na mwanamke JF.. haitaaa itokee.. Una fail hapo hisia alafu sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…