π π π π ... Wenye mtandao waje watutoe hili duku duku , huyu bana Rabbitus anasema anaingilia PM za watu.. na hivi sasa kateka PM ya Tinsley.. kaibadilisha jina na kuwa La bell kwa kutumia trick za social engineering..

Hili suala Mhariri, Cookie, na Maxence Melo Ina bidi wali angalie.
π Kwasababu haiwezekani mtu achukue umiliki wa I'd yako, bila ridhaa yako mwenyewe.