National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Haha ila nyinyi wenye madoido ujue mara nyingi Ni sifuri kabisa.
Nipo napika chiefπ€£π€£ππ€Ujanaa tu mzeee.. unakuta mahela yanakuja ovyo ovyoo.. unaishia kuwapasua tu.. π π π π
π π π π nimewekewa miguu kichwaniNapika mzeeπ€£π€£π€
mie nimekula nasubiri msosi mwingine.. nasubiri katoto kalale πNipo napika chiefπ€£π€£ππ€
Mhhh hi au Basiπ
ACha nipambane na Hali yanguππ€mie nimekula nasubiri msosi mwingine.. nasubiri katoto kalale π
Yangu si ndo huioni kila sikuJidanganye [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Usiku mwema najibu piem za watu kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maserati ile GT ni moto wa kuotea mbali π π πSema Maserati nayo Ni speed National Anthem π€
hii sijaipata bado mkuuNa ile grandeur, Ni gari ya kampuni ipi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia imefunguliwa, watu wanakua wanachotakaaa.Kweli nimeona udugu aiseee!! Hatareee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unaweza kuhimili manjegeka ya Selfika? Wenzako tumeshazoeaa.Mkinga hatishiki si nimekwambia wewe toka jana?? Alikuwepo Kantri kaamua kutangaza uchumba na uzi juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sembuse kina Babu migambuti!!! Sema babu kanyata jamani, wanaomdate nawapa maua rose [emoji257] wakamuwekee kwenye maji anukie kidogo
Yangu si ndo huioni kila siku